Journal swahili de jeudi matin, 090426

Habari za asubuhi, siku yab ine 090426

  • Mkuu mpya wa MONUSCO, James Swan, ana elezea wasiwasi wake mkubwa, kuhusu hali ya kutisha ya usalama na kibinadamu, mashariki mwa Kongo.
  • Naibu wa Kitaifa Gary Sakata, anatetea kukomeshwa kwa kazi ya kulazimishwa ,na kubadilishwa kwa utumwa wa adhabu, na kifungo
  • Wakati huu, ambapo Kinshasa ,inatafuta suluhu endelevu, za uhaba wa chakula na ukosefu wa kazi, Shirika lisilo la ki serkali " La terre ne ment jamais " ina ji zihirisha, katika uzalishaji wake, wa uyoga, unao itwa Pleurotes.
  • /sites/default/files/2026-04/090426-journalswahili-jeudimatin-web.mp3