Journal Swahili de jeudi matin 190326

Habari za asubuhi, siku ya ine 190326

  • Wabunge kutoka Ituri wana shutumu  mashambulizi yanayohusishwa na ADF katika eneo la Mambasa , na Wana tangaza kuwa,  hatua Zita chukuliwa kwa hio. 
  • Tangu siku chache  Katika muji Wa Lubumbashi ,  bei ya unga wa mahindi , imepanda sana .
  • Katika mji wa Goma , tangu mwezi sita ,  vituo kadhaa vya afya , vina pokeya kesi nyingi mpya , za wagonjwa wa surua .
  • /sites/default/files/2026-03/19032026-p-s-journalswahilijeudi_matin-web.mp3