Journal Swahili de Jeudi matin 260226

  • Kongamano la majimbo linalohusu suala la ADF lime malizika  mjini  Beni, mji mkuu wa muda wa  Kivu Kaskazini  , Siku ya tatu hii . 
  • Miaka nane , zimepita , tangu maandamano ya Wakatoliki ,   yaliyo sababisha kifo cha mwanaharakati wa Kikatoliki, Rossy Mukendi Tshimanga, aliyeuawa wakati wa maandamano haya ya amani , katika wilaya ya Lemba, mjini Kinshasa. 
  • Mamlaka ya Mapato , DGRKAS  ya Kasai,  imefunga huduma zote za Umeme ya Kongo Siku ya kwanza hii iliopita .
  • /sites/default/files/2026-02/260226-journal_swahili_jeudi_matin-web.mp3