Journal swahili de jeudi soir 120326

Habari za mangaribi , siku ya ine 120326

  • Viongozi na maafisa, kazaa wa kimataifa, wanashutumu shambulio la ndege zisizo na rubani, lililo kumba mtaa wa wakaaji huko Goma.
  • Wachimbaji madini tisa wali fariki siku ya tatu hii iliopita,  katika maporomoko ya arzi katika, eneo la uchimbaji madini la Safi, lililoko ndani ya kibali cha Boss Mining huko Kakanda, eneo la Lubudi.
  • Kuhusu mapambano zidi ya uhalifu wa wanyamapori huko Maniema, mmoja wa majangili wawili, waliokamatwa hivi karibuni, na Taasisi ya Uhifadhi wa Mazingira ya Kongo (ICCN), kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, amehukumiwa, kifungo, cha miaka saba.
  • /sites/default/files/2026-03/120326-p-s-journalswahilijeudisoir-web.mp3