Journal swahili de lundi soir, 060426

Habari za mangaribi, siku ya kwanza 060426

  • Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Huu ni Mwaka Wa pili , ambao Siku Ya  sita  Ya mwezi Wa ine ,  ni sikukuu ya umma, iliyowekwa  kwa Ku kumbuka  kazi kubwa  ya Simon Kimbangu , kwa ajili ya Afrika . 
  • Jimboni Ituri, wakaaaji wako katika hali ya hofu,  kwani waasi wa ADF , wameingia tena Mambasa-Centre. 
  • Jimboni  Maniema, wafungwa katika gereza kuu la Punia,  wanaishi katika hali ngumu sana, hata isiyo ya kibinadamu, kwani tangu miezi mingi , gereza hii haipokeyi  ruzuku , ama msaada Wa serikali .
  • /sites/default/files/2026-04/060426-journalswahili-lundisoir-web.mp3