Journal swahili de lundi soir 100326

Habari za mangaribi, siku ya kwanza 100326

  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,  anashiriki katika maazimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na kikao cha makumi Saba ,  cha Kamishen ya Hazi ya Wanawake mjini New York, chini ya mada: "Haki, sheria,  vitendo  kwa wanawake,  na wasichana wote." 
  • Huko Mahagi, jimbo la Ituri, zaidi gari  mia tatu za gari zinazobeba mafuta ya petroli , kwa sasa zime simamishwa .
  • Chama cha Kitaifa cha Machifu wa Jadi, tawi la Fizi , kinatetea kuishi pamoja kwa amani miongoni mwa jamii mbalimbali , za eneo hili, lililo sambara tishwa kwa muda mrefu,  na migawanyiko, ya makabila.
  • /sites/default/files/2026-03/100326-p-s-journalswahilimardisoir-web.mp3