Journal swahili de mardi matin,140426

Habari za asubuhi, sikuya pili 140426

  • OCHA, ina ripoti kuwa , Katika Jamhuri Ya kidemocratia Ya Kongo , Jimbo la Kivu kusini, Lina idadi kubwa zahidi , Ya Wa kimbizi Wa ndani. 
  • Kundi la manaibu wa majimbo injini KONGO ,  linasikitishwa na kuto tekelezwa kwa  maagizo ya Rais wa Jamhuri,  kuhusu malipo ,  ya mishahara yao.
  • Jimboni Kasai Oriental, miili sita iliyo wekwa   katika chumba cha kuhifadhi maiti, cha Hospital ya Notre-Dame de l'Espérance, zime achiliwa tangu zaïdi Ya Mwaka Mmoja.
  • /sites/default/files/2026-04/140426-journalswahili-mardimatin-00_web.mp3