Journal swahili de mardi soir 140426

Habari za mangaribi siku ya pili 140426

  • Mazungumzo kati ya serikali ya Kongo, na waasi wa AFC/M23 yali anza tena Siku Ya kwanza hii, tarehe kumi na ine , ya mwezi huu Wa ine ,Katika mji Wa Genève , injini Swiss .
  • Katika Jimbo la Tanganyika, ime ripotiwa  kuwa watu saba wame poteza maïsha katika bodi ambayo ili Zama Siku ya kwanza hiii iliopita , kwenye Ziwa Tanganyika. 
  • Siku Ya pili  hii, toleo la kumi na tatu, la Maonesho ya Sayansi na Teknolojia lime anzishwa,  katika mji Wa  Kolwezi, jimboni la Lualaba.
  • /sites/default/files/2026-04/1404263-journalswahili-mardisoir-web.mp3