Habari za asubuhi siku ya tatu tarehe 250226
- Jimboni Kivu Kaskazini, mapigano kati ya waasi wa AFC-M23 na muungano wa Wazalendo, yana endelea siku ya pili hii , katika maeneo kadhaa katika sehemu ya kusini , ya eneo la Masisi.
- Katika jimbo la Tshopo, muji wa Kisangani , bei za mahitaji ya msingi zimepanda sana sokoni ,kutokana na ukosefu wa bizaa fulani , na kushuka kwa kiwango, cha ubadilishaji wa dola za Marekani
- Kitengo cha Miundombinu cha Wizara ya Miundombinu na Kazi za Umma, kime kabizi rasmi magari , kwa huduma nane za kiufundi, huko Kasai-Central, Siku ya kwanza hii iliopita
- /sites/default/files/2026-02/250226-journalswahili-mercredimatin-web.mp3






