Journal swahili de Mercredi soir 040326

Habari za mangaribi, siku ya tatu 040326

  • Jimboni Kivu Kaskazini, maporomoko ya arzhi,  yalipiga eneo la uchimbaji madini la Gasasa, ilioko  kilomita tano kutoka Rubaya - centre ,  katika eneo,  la Masisi.
  • Muji Wa  Lubao, jimboni LOMAMI , ulipokea umeme mwisho Wa juma iliyopita,  kwa mara ya kwanza. 
  • Gavana Wa Jimbo la Ituri , Jemadari Johnny Luboya N’kashama, ali zungumza na waendeshaji wa sekta ya madini huko Bunia, Siku ya kwanza iliopita , Ku Wa onesha kuwa , kila gramu Ya zahabu , ina sahidiya Ku jenga shule , ma Barabara , hâta vituo vya afia, Katika Jimbo hilo.
  • /sites/default/files/2026-03/04032026-journalswahili-mercredisoir-web.mp3