Habari za mangaribi, siku ya tatu 080426
- Mkuu mpya wa MONUSCO, James Swan, ana elezea wasiwasi wake mkubwa, kuhusu hali ya kutisha ya usalama na kibinadamu, mashariki mwa Kongo.
- Naibu wa Kitaifa Gary Sakata, anatetea kukomeshwa kwa kazi ya kulazimishwa ,na kubadilishwa kwa utumwa wa adhabu, na kifungo.
- Wakati huu, ambapo Kinshasa ,inatafuta suluhu endelevu, za uhaba wa chakula na ukosefu wa kazi, Shirika lisilo la ki serkali " La terre ne ment jamais " ina ji zihirisha, katika uzalishaji wake, wa uyoga, unao itwa Pleurotes.
- /sites/default/files/2026-04/080426-journalswahili-mercredisoir-web.mp3







