Habari za mangaribi, siku ya tatu 180326
- Wabunge kutoka Ituri wana shutumu mashambulizi yanayohusishwa na ADF katika eneo la Mambasa , na Wana tangaza kuwa, hatua Zita chukuliwa kwa hio.
- Tangu siku chache Katika muji Wa Lubumbashi , bei ya unga wa mahindi , imepanda sana .
- Katika mji wa Goma , tangu mwezi sita , vituo kadhaa vya afya , vina pokeya kesi nyingi mpya , za wagonjwa wa surua .
- /sites/default/files/2026-03/18032026-p-s-journalswahilisoir-web.mp3






