Journal Swahili de mercredi soir 250226

Habari za mangaribi ya siku ya tatu tarehe 250226

  • Kongamano la majimbo linalohusu suala la ADF lime malizika  mjini  Beni, mji mkuu wa muda wa  Kivu Kaskazini  , Siku ya tatu hii .  
  • Miaka nane , zimepita , tangu maandamano ya Wakatoliki ,   yaliyo sababisha kifo cha mwanaharakati wa Kikatoliki, Rossy Mukendi Tshimanga, aliyeuawa wakati wa maandamano haya ya amani , katika wilaya ya Lemba, mjini Kinshasa. 
  •  Mamlaka ya Mapato , DGRKAS  ya Kasai,  imefunga huduma zote za Umeme ya Kongo Siku ya kwanza hii iliopita .
  • /sites/default/files/2026-02/250226-journal_swahili_soir-web.mp3