Journal swahili de vendredi , 030426

Habari za mangaribi, sdiku ya tano 030426

  • Kongamano la tatu la Kiuchumi , Kati ya Congo na-Angola lili malizika Siku Ya ine hii iliopita mjini Kinshasa. 
  • Kuhusu kufuzu kwa Timu Ya taïfa Leopards,  kwa Kombe la Dunia la Mwaka elfu mbili makumi mbili na sita, Kiongozi wa Bunge la Kitaifa, Aimé Boji Sangara, anaona kuwa , ushindi huu Wa Timu la taïfa ,  ni zaidi ya mafanikio ya kimichezo.
  • Jimboni  Ituri, Jeshi la Congo FARDC , ilianzisha opereshen, ya kuwasaka waasi wa ADF , huko  Bafwakoa, katika eneo la Mambasa,  Siku Ya ine hii iliopita .
  • /sites/default/files/2026-04/030426-p-s-journalswahili-vendredisoir-web.mp3