Journal swahili de vendredi soir, 100426

Habari za mangaribi, siku ya tano 100426

  • Askofu Mkuu wa Kisangani, Marcel Utembi, aki shindikizwa  na ujumbe wa maaskofu, alikutana Siku Ya ine iliyopita , na gavana wa jimbo la Tshopo , ili Ku mjulisha  kwamba askofu mpya wa Wamba, Emmanuel Nguna, ata chukuwa kikao chake huko Mambasa , Katika mwezi huu Wa ine. 
  • Msimamizi wa eneo la Dibaya, Danyo Ilunga Kalonga, ana hakikisha  kuwa, utulivu umerejea,  baada ya mapigano ya siku mbili , kati ya wakaaji wa kijiji cha Bena Kasenga , na wale wa Bakuanga.
  • Nyumba nyingi zime bomoka, mashamba na mazingira zime haribiwa, baada ya mvua kubwa na upepo mkali, ulio piga eneo la Nkolo, huko Mbanza ngungu , Siku Ya ine ine hii iliopita , tarehe tisa , mwezi tulimo.
  • /sites/default/files/2026-04/10042026-journalswahili-vendredisoir-web.mp3