Habari za mangaribi, siku ya tano 130326
- Tume kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia, na Shirika la Umoja wa Mataifa linalo Kuhudumia Wakimbizi (HCR), ime maliza mkutano wake wa tisa.
- Mjini Kananga, mteka nyara mmoja, ali kamatwa upande wa hospital ya Pax, aki bebe mtoto wa miezi tatu, katika mfuko.
- Gari kubwa zote za makontena, ambazo zimevuka mipaka ya tani zilizo izinishwa , zime katazwa ku tembeya kwenye barabara ,zinazoendelea kujengwa, katika mji wa Beni
- /sites/default/files/2026-03/130326-p-s-journalswahilivendredisoir-web.mp3





