Habari za mangaribi , siku ya tano 200326
- Kila mwaka mnamo mwezi Wa tatu , tarehe makumi mbili , ulimwengu una azimisha Siku ya Kimataifa ya Francophonie, ama ki farança .
- Waziri anaye husika na Rasilimali za Maji na Umeme injini Congo , alizindua Moduli ya pili na ya tatu ya kituo cha kusafisha maji cha Binza ozone , Siku ya tatu iliopita , katika wilaya ya Ngaliema , mjini Kinshasa.
- Jimboni Kivu Kaskazini, wakaaji wa Sake na vijiji vinavyozunguka , wanashutumu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama, miezi miwili iliyopita , huko Kamuronza, Katika eneo la Masisi.
- /sites/default/files/2026-03/200326-journal_swahili-vendredisoir-web.mp3







