JOURNAL SWAHILI DU LUNDI 08 Avril 2024

01. Kinshasa : Déni ya uma ya inchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo yana tambuka kwa sasa miliare 10 dola za kimarekani kwa muda wa myaka 5.

02. Lubumbashi :  Skibaruwa cha malalamiko cha wasimamizi wa miungano za shirika za raiya ndani ya jimbo 26 za inchi DRC

03. Kinshasa : Matamshi ya kisiasa ya chama ANCL ukiomba waziri mkuu wa serkali kusafisha mazingira ya kibiashara

04. Kinshasa :  Makabila za wa Teke na wa Yaka wana saihi mukataba wa kufanya amani 

05. Beni :  Shirika la raiya lina omba Jeshi FARDC kuchukuwa kwa uzito taazari za wakaaji kuusu kuweko kwa waasi wa ADF

06. Goma :  Vijana wa Rutchuru wana shutumu kuhorozeshwa kwa vijana huko

07. Goma :  Ujumbe kwenye shamba la mapigano maafa mkengi kutokana na kutupwa kwa ma Bomu

08. Goma :  Uharibifu wa hali ya kijamii na mazingira na Afya kwenye kambi za wakimbizi /sites/default/files/2024-04/08_04_2024_journal_swahili_matin_web.mp3