Journal Swahili du Vendredi 200226

Habari za mangaribi ya siku ya tano tarehe 200226

  • Baada ya mvua kubwa iliyonyesha mjini Kinshasa asubuhi ya Siku ya tano hii , wilaya kadhaa zime ripoti uharibifu mkubwa wa nyenzo na kupoteza maisha. 
  • Licha ya kutangazwa ku sitisha mapigano mnamo tarehe kumi na mnane ya mwezi huu wa pili ,  mapigano yanaendelea kati ya FARDC  na waasi wa AFC/M23 , wanaoungwa mkono na Rwanda,   huko Kivu Kaskazini na Kusini. 
  • Tume Huru la Kitaifa  inayo husikia  uchaguzi injini Congo ,  CENI kwa kifupi ,  imekabizi rasmi , daftari la uchaguzi , la Mwaka elfu mbili makumi mbili na mbili ,  kwa Ofisi ya Kitaifa ya Vitambulisho vya raïa ( ONIP) , Siku ya ine hiii iliopita , mjini Kinshasa.
  • /sites/default/files/2026-02/20022026-p-s-journalswahili-vendredisoir-web.mp3