Journal Swahili matin 03 septembre

Jimboni Kasaï kumeripuka malazi inayo onesha dalili za Mpox munamo mtaa wa afya wa Luebo. Tuta msikiiliza Mganga kiongozi wa eneo hilo la afya katika habari hizi...

Jimboni Ituri, hali kiusalama la zorota mtaani Mambasa hata kuathiri shughuli za kufunguliwa kwa mwaka mpya wa shule.

Mjini Kinshasa, kupunguzwa kwa muda wa matumizi ya baadhi ya vocha za intaneti kwadokeza manunguniko. Baadhi ya wateja wakabiliwa na kupunguzwa kwa mda wa package za mega na giga za mitandao ya simu za mkononi.

/sites/default/files/2026-09/03092026-journal_swahili-jeudi-matin-00.mp3