Journal Swahili Lundi Matin, 17 aout 2026

Rais wa JDC Felix Antoine Tshisekedi hutaka mwaka wa shule 2026-2027 uanze kwa wakati na kwa amani..

Ituri, wahami walioko kambini pa Bule warejea makwao ijapo hali mbuvu ya usalama ya dumu

Jimboni Lualaba Shirika la Casmia lashutumu kampuni ya TFM uchafuzi wa mazingira katika vijiji vine vya Fungurume...

/sites/default/files/2026-08/17082026-journal_swahili-_lundi_matin-00.mp3