Kinshasa: Raïssa Malu, waziri wa elimu, atangaza kuanzishwa kwa kantini 78 ya kuwapa wanafunzi mahali pa kula shuleni katika mwaka wa masomo 2026–2027 nchini DRC.
Mkoani Mongala, kutokana na mgogoro kwenye vituo vya serkali, chama cha Muungano ya utawala UNION SACREE chaomba kufungwa kwa Bunge la jimbo na kujiuzulu kwa liwali wa jimbo.
Pa Kongo-Central; utengenezaji wa matofali wachochea uchumi na ujasiryamali kwa vijana wa eneo la Boma.
/sites/default/files/2026-09/31082026-journal_swahili-_lundi-_soir-00.mp3







