Journal Swahili Mardi Matin, 25 Août 2026

Serkali ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo yalaanimanyanyazo makubwa yanao endeshwa na waasi wa AFC M23 kunako maeneo wanao dhibiti. Waziri ahusikaye na maswala ya upashaji habari asema kwamba, vitendo hivi ni ukeukuaji ya haki ya kibinadam

Janga la Ebola inapo sambaratika sana inchini jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, hii jumapili, papa wa Roma waalika jumuiya ya kimataifa kuchangiya kwa uwezekano ya kupambana na janga lile.

Na huko Kwango, shirika la RODDDI-RDC yapiga yowe ili mipangilio ya dharura yachukuliwe kwa kutowa fursa kwa watoto wakimbizi kurejea shule.

/sites/default/files/2026-08/250826-journal_swahili-mardi-matin-00.mp3