Journal Swahili Mardi Soir, 18 août 2026

Afya, Zaidi ya visa elfu 50,8 vya surua vimeripotiwa majimboni Kivu Kaskazini na Kivu Kusini kati ya Januari na Julai mwaka huu wa 2026.

Mjini Beni; Watoto waliokimbia vijiji vyao wako katika hatari ya kukosa kurejea shuleni mwakani.

Na Mbuji-Mayi;  Kivuko cha Epamba, kinachounganisha majimbo za Lomami na Haut-Lomami, kimefunguliwa upya baada ya miaka 23 ya kutotumika.

/sites/default/files/2026-08/18082026-journal_swahili_mardi_soir-00.mp3