Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latoa wito wa kusitishwa kwa mapigano kwa mda wa myezi sita kwa ajili ya kibinadamu ili kufikia jamii zilinazo hitaji msaada wa kihutu.
Kusitishwa kwa shughuli za mafunzo munamo vyuo vikuu mijini Goma na Bukabu kwa mwaka wa 2026–2027; maamzi haya ya serkali yatangazwa na waaziri ahusikaye na maswala ya elimu
Toleo la nane la Mkutano wa Pande Tatu wa DRC-Tanzania-UNHCR lafunguliwa mjini Lubumbashi ili kufikiria marejesho kwa hiari kwa wakimbizi wa Kongo wanaoishi Tanzania.
/sites/default/files/2026-08/260826-journal_swahili-mercredi-soir-00.mp3






