Habari zetu za jumanne hii tarehe 22 julay 2025
- 1.Watu 21 waliuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya CODECO dhidi ya kundi lenye silaha la Zaire linaloshirikiana na CRP huko Nizi na Lopa, katika eneo la Djugu. Trafiki imesalia kusimamishwa, vile vile shughuli za kibiashara katika maeneo yote mawili. Hali ya usalama ni mbaya katika sehemu hii ya eneo la Djugu.
- Upande mwengine Watu wanne waliuawa na takriban ishirini kujeruhiwa katika ajali ya trafiki Jumanne hii mwendo wa saa tano asubuhi kwenye Barabara ya Matadi kibala karibu na soko lililohamishwa ndani ya wilaya ya Mont Ngafula ya Kinshasa. Mtasikiliza mafasiro yake kiongozi wa mahali.
-
Mratibu anaye shimamiya kazi za Umoja wa Mataifa nchini DRC Bruno Lemarsquis alisimika pale kisangani Timu ya Umoja wa Mataifa EPNU ndani ya jimbo hilo. Lengo nikuhakikisha upangaji wa shuruli ndani ya jamnii.
/sites/default/files/2025-07/220725-p-s-journalswahilisoir-00web_.mp3