Journal Swahili soir, 4 septembre

Viongozi wa asili wa jimboni Kasai wameahidi kuacha desturi zinazodunisha heshima ya wanawake. Msimamo wachukuliwa kihisha mjadala kuhusu swala lile, alamisi na Mkewe Rais, Denise Nyakeru Tshisekedi.

Kinshasa : Mashauriano ya bajeti kuhusu uandaaji wa mradi ya Mswada wa Fedha kwa mwaka wa 2027 iliendelea siku Alhamisi, chini ya uongozi wa Waziri wa Bajeti, Adolphe Muzito.

Jimboni Ituri, wanafunzi zaidi ya elfu moja wa kunako Shule ya Saint-Luc, iliyoko ndani ya kambi ya wakimbizi ya Kigonze mjini Bunia, wanasoma katika mazingira yanayozua wasiwasi kutokana na hatari ya kuenea kwa virusi vya Ebola.

/sites/default/files/2026-09/0409026-journal-swahili-vendredi-matin-00_0.mp3