Habari zetu za siku tarehe 22 juillet 2025 ( MATIN)
1. 1.Bukavu muungano wa vikundi vya shirika la raiya watoa maoni yake kuhusu makubaliano ya kanuni iliyo sahiniwa pa Doha weekend iliyopita. Muungano huo unahakikisha kuwa ni "hatua kubwa yakuenda mbele" katika harakati ya kutafuta amani.
2.2.Mjini kinshasa Maduka kadhaa yalifungwa siku hii kutokana na kutofuata kiwango cha chini cha mshahara (SMIG). wafanyakazi waliendesha maandamano kupinga kusito heshimiwa kwa amri yake waziri kuhusu mshahara.
/sites/default/files/2025-07/220725-p-s-journalswahilimatin-00-web.mp33.33.Goma: Uchunguzi waendeleya kuhusu Ajali ya meli kwenye Ziwa Kivu. takriban watu wanane hawajulikani walipo baada ya kuzama kwa mtumbwi kwenye Ziwa Kivu Jumamosi usiku.