Journal matin

Habari za siku ya inne asubuhi 

  • Waziri anayehusika na  Mazingira anasema kwamba, tangu  sasa,  mali ya Kongo itatengezwa nyumbani, kuliko kwenda nje ya inchi.
  • Jimboni Kivu ya Kaskazini, mashamba mengi  ya mahindi yanashambuliwa na kuharibiwa na vidudu vidogo kutoka Marekani katika eneo la Rutshuru.  
  • Mjini Kinshasa, Kazi ya ukarabati ya barabara ya Kimwenza mission imekuwa ikiendelea hadi leo katika mtaa wa Mont Ngafula tangu  zaidi ya mwaka mmoja.
  • Jimboni Nord-Ubangi, wakaadji  wanakabiliwa na mafuriko makubwa kutokana na kuu jaa kwa Mto Ubangi.
  • Ni siku ya inne asubuhi ndio  magari na hata watu walianza tena kusafari  kama kawaida  kwenye eneo la mupaka  la  Kasumbalesa baada ya mzozo uliyotokeya huko .
  • Jimboni la Kongo Central, waziri auhusikaye na uchumi anapinga wageni ambao wanachuruza kinyuma  na sheria  
  • Katika jimbo la Tanganyika, Wizara ihusikaye  na Elimu,   ilianzisha siku ya tatu  huko Kongolo , kampeni ya kusisimua wazizi katika lengo lakuelimisha  watoto./sites/default/files/2022-10/071022-p-s-kinjournalswahilimatingraceamzati-00_web__0.mp3