Journal soir

Habari za siku ya inne jioni

 

  • Ni siku ya inne hii asubuhi ndio  magari na hata watu walianza tena kusafari  kama kawaida  kwenye eneo la mupaka  la  Kasumbalesa baada ya mzozo uliyotokeya huko .
  • Jimboni la Kongo Central, waziri auhusikaye na uchumi anapinga wageni ambao wanachuruza kinyuma  na sheria  .
  • Katika jimbo la Tanganyika, Wizara ihusikaye  na Elimu,   ilianzisha siku ya tatu  huko Kongolo , kampeni ya kusisimua wazizi katika lengo lakuelimisha  watoto, wakiwemo wa binti na wanaume .
  • Ni kila tarehe sita mwezi wa kumi ndio kunasherekwa siku kuu ulimwenguni wa  Ulemavu wa Ubongo .
  • Jimboni Nord-Ubangi, wakaadji  wanakabiliwa na mafuriko makubwa kutokana na kuu jaa kwa Mto Ubangi.
  • Jimboni Kivu ya Kaskazini, mashamba nyingi   ya mahindi yanashambuliwa na kuharibiwa na vidudu vidogo kutoka Marekani katika eneo la Rutshuru.  
  • Mjini Kinshasa, Kazi ya ukarabati ya barabara ya Kimwenza mission imekuwa ikiendelea hadi leo katika mtaa wa Mont Ngafula tangu  zaidi ya mwaka mmoja./sites/default/files/2022-10/061022-p-s-kinjournalswahilisoir-00_web_0.mp3