Journal swahili midi

  • Bunia:Mashule hazikufunguka katika maeneo zimoja za mtaa wa Mambasa sababu ya ugonjwa kwa virusi y'Ebola
  • Lubumbashi:Masomo haikufunguka pa Malemba Nkulu sababu ya kwangaika kwa tembo
  • Kananga:Caritas mjini Lwebo ina haidia kulipa mshara ya walimu wa pale Kazumba
  • Kinshasa:Chama MLC inaomba CPI ileta mwangaza ni kusema nini subornation
  • Kinshsa :UNC ina sangazwa na amri ya korti ya kikatiba kuhusu Jean Pierre Bemba na Adolphe Muzitu
  • Kinsahsa:mgombea Moka ana lazimisha korti ya kikatiba imukubali
  • Kinshasa :mjibu ya mgombea Marie José Ifoko
  • Kinshasa:Chama kwa jina la dynamique Katumbi Dek inaomba Ceni abadirishe kalenda ya uchaguzi bila kutosha tarhe makumi mbili na tatu disemba ijayo
  • Kinshasa:Alexis Thambwe Mwamba alijitetea mbele ya sheria ya ubelgiji
  • Bukavu:Zawadi ya Monusco kwa hospitali ya Mpanzi jimboni Sud Kivu /sites/default/files/2018-09/05092018-a-s-journalswahilimidi-00.mp3