Journal swahili soir

  • Bukavu:kwanzishwa kwa mwaka wa masomo ya vyuu vikuu na waziri Steeve Mbikayi leo asubui jimboni Sud Kivu
  • Kinshasa:kwanzishwa kwa mwaka wa masomo katika univasiti ya UPN
  • Kinshasa:kwanzishwa kwa masomo mwaka huu, mjibu ya mwana funzi mmoja.
  • Uvira:jeshi la taiffaa lina tangaza kujisalimisha kwa wapiganaji mia moja wa mai mai
  • Bunia:muisho ya ziara ya kazi ya wabunge mtaani Djugu na hawa wana shutumu uasi
  • Beni:miak nee tangu kulianzishwa mauaji ya wakaji mjini Beni , elfu mbili wameuawa
  • Kananga :watu wawili walifariki kwa msiba ya gari pa Dimbelenge jimboni Kasai central./sites/default/files/2018-10/15102018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3