Journal swahili soir

  • Beni:Zaira ya kazi ya viongozi ya vijiji pamoja na wale wa Monusco mtaani Ruwenzori katika jimbo la Nord Kivu
  • Bunia:watu nee waliuawa jana na askari jeshi mmoja wa taifaa jimboni Ituri
  • Goma:Zaidi ya watoto mia mnane wameachiliwa na kundi la jeshi  katika eneo la petit Nord yani Masisi, Rutchuru na Walikale tangu mwanzo ya mwaka huu
  • Kinshasa:fundisho ya wafundi ya Ceni ajili ya mashini ya uchaguzi
  • Kinshasa Uelimusaji wa wafundi wa polisi ya taifaa kuhusu mahusiano
  • Kananga:viongozi ya mikoo ya Dimbelenge wana omba /sites/default/files/2018-10/17102018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3ukarabati wa madaraja kuwauunganisha na Mbuji May na pya Kananga