Journal swahili soir

  • Kinshasa:kikao cha mashirika za umoja wa mataifaa cha siku ya tatu na wapasha habari za mji wa Kinshasa,Beni ni lazma ya Monusco ya kwanza siku ya leo
  • Bunia:Mfungwa mmoja aliuwa polisi  ambae ni zamu kunako gereza kuu ya Gety katika jimbo la Ituri
  • Kananga:kiongozi mmoja wasili wa pale Tshibanda alishikwa na askari jeshi 
  • Lubumbashi:Fujo kuu pale Kakanda kiisha kuogotwa kwa maiti imoja
  • Bukavu:maandamano ya wanainchi pamoja na shirka la raia kwa kupinga uongozi mbaya ya jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:Kwanzishwa kwa redio ya Ceni 
  • Kinshasa :Sheree ya siku kuu ya akiba./sites/default/files/2018-10/31102018-a-s-journalswahilisoir17h00-00_0.mp3