Journal swahili soir

  • Kinshasa :ujumbe wa umoja ya mataifaa na Oms walizungmuza na waziri mkuu inchini jamuhuru ya kidemocracia ya Kongo
  • Goma:shirika la raia ya Kanyabayonga mtaani Lubero lina jishwali kuhusu kumalizika kwa mda wa kujisalimisha walipeo kwa utashi wao wa FDLR
  • Bukavu:mapambano makuu kati ya wa mai mai na vijana wa local defense wa Lemera mtaani Uvira katika jibmo al Sud Kivu
  • Bukavu:Kikao kuzungmzia swala la kisiasa ya udongo ya taifaa kwandaliwa mjini Bukavu katika jimbo la Sud Kivu
  • Kinshasa:zawadi ya Monusco kwa wamama wafungwa wa gereza kuu ya Makala
  • Bunai :tembo kwa jina la "ya Mado"inauawa watu wawili pa Bahaha jimboni Ituri/sites/default/files/2018-11/06112018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3