Journal swahili soir

  • Kinshasa:MAtokeo ya polisi kuhusu kusitovumiliana kisiasa wakati wa kampeniya uchaguzi
  • Kinshasa:Kikao na wapasha habari ya PPR kuhusu tabia ya kusitovumiliana kisiasa wakati wa kampeni  ya uchaguzi
  • Bunia:kazi ya uchaguzi,kusitovumilana kisiasa mjini Bunia katika jimbo la Ituri
  • Kananga:kusitovumiliana kisiasa , alikwa ya kiongozi ya mji wa Kananga
  • Uvira:mapambano asubui ya leo pale Mboko kati ya jeshi la taifaa na wa Mai mai na pya tatizo kwa wagombea ya kuendsha kampeni katika jimbo la Sud Kivu
  • Beni:Shirika la raia la Lubero lina uzunshwa na kuvahamiwa na kundi za silhaa katika maeneo matano , shida kwa wagombea kwa kujitetea
  • Goma:Matendo mbaya za kundi za silha pa Walikale, watu wanee walifariki na wawili kutekwa nyara .

/sites/default/files/2018-12/03122018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3