Journal swahili soir

Kinshasa:Kikao cha CorneilNanghaa mwenyezi wa Ceni na wapasha habari kuhusu mripuku ya moto danni ya chumba chake cha kuweka vifaa

Kinshasa:mjibu ya FCCkuhusu mkasa ya moto

Kisangani:mjibu wa Udps,Felix tshisekedi kuhusu kitendo icho

Mbuji May:mvutano mjini Mbuji May mbele ya kufika kwa mgombea kiti chauraisi wa Udps Felix Tshisekedi

Kalemie:Mjibu ya liwali makamu wa jimbo la tanganyika kuhusu shutuma za muungano Lamuka

Kinshasa:kampeni ya kuchanza ndui ya kupinga suruba kwa watoto zaidi ya makumi nee pa Kamonia katika jimbo la Kasai./sites/default/files/2018-12/13122018-a-s-journalswahilisoir-00.mp3