Journal swahili soir

  • Kinshasa:Kesi ya mara kwanza kunako korti ya kikatiba kuhusu mapendekezo ya mgombea wa muungano LamukaMartin Fayulu Madidi
  • Bunia:wagombea ubungejimboni Ituri  wenye walishindwa kwa uchaguzi wa tarhe makumi tatu disemba iliopita wana kosa ma pv kwa kujitetea
  • Kananga:Kuhusu wabunge kuteuliwa katika jimbo la Kasaicentral
  • Kinshasa:Cafco ina omba kwa viongozi wa siku za usoni waweke wana wake kwa uwingi ndani ya kazi ya serkali na pya kwenye makampuni
  • Beni:Kijiji cha MAVIVI kina kosa wakaji
  • Kinshasa:Jean Louis Kayembe ana fasiria tangazo la benki ya taifaa kuhusu bey ya kuvunja noti./sites/default/files/2019-01/15012019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3

Dans la même catégorie

06/05/2024 - 12:47
/
06/05/2024 - 12:41
/
06/05/2024 - 12:35
/
06/05/2024 - 12:27
/