Journal swahili soir

  • Goma:wapiganaji wazamani wa M23 ya pata makumi masita na saba pamoja na majamaa zao walifika leo mjini Goma kutoka inchi ya Uganda
  • Kinshasa:Kutoroka kwa wafungwa gerezani kuu la Bandundu katika jimbo la Kuilu
  • Kinshasa:ziara ya kazi ya raissi felix Tshisekedi mjini Windhoek inchini Unamibia
  • Kinshasa:Kikao cha ofisi kwa mda ya baraza la bunge ya taifaa na waziri wa serkali ya ufalme wa ubelgiji 
  • Kinshasa:Baruwa ya mashitaka ya Luzolo Bambi  kwa mkata mashtaka mkuu wa inchi kuhusu rushwa wakati wa kutayarisha uchaguzi wa maliwali na ma seneta inchini
  • MbujMay:Korti kuu ya jimbo la kasai centrale lina hukumu
  • Bukavu:jimbo la Sud Kivu limepata miji mitatu mpya./sites/default/files/2019-02/26022019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3
     

Dans la même catégorie