Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:siku kuu ya jeshi la taifaa 
  • Kinshasa;ushuda ya jeshi alie fika muisho ya mda ya kazi tangu mwaka wa elfu mbili na tatu
  • Kinshasa:uchunguzi wa waskari jeshi na waskari polis ajili ya ugonjwa wa cancer ya maziba na kiuungu ya kizazi ya akina mama
  • Beni:kutiwa nguvuni kwa kamanda wa Mai mai Safari pa Lubero katika jimbo la Nord Kivu
  • Bukavu:wasi wasi ya wakaji wa Bunyakiri mtaani Kalehe ajili ya wa FDLR katika eneo ilo la jimbo la Sud Kivu
  • Kindu:madarsa makumi manee na munane ya jimbo ndogo la Kalima zina shutumia caritas Kongo wizi ya pesa ya kazi humo jimbo la Maniema./sites/default/files/2019-05/17052019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3