Journal Swahili Soir

  • Kananga:kusudi ya kutoroka gereza ya Kananga wafungwa wawili waliuawa na walinzi wa gereza kuu ya jimbo la Kasai central
  • Beni :Kufungwa kwa watu sita walishutumiwa mauwaji wa mzaliwa wa ushina mmona katika barabara Bunia Komanda jimboni Ituri
  • Goma:sikuu ya wakimbizi ulimwenguni ni leo tarhe makumi mbili juni ilisherekewa humo jimb la Nord Kivu
  • Bunia:siku kuu ya kukomesha ujeuri wa  wana muke wakati wa mizozo ya watu wa silhaa
  • Kinshasa:Kazi za kufwatilia mkataba wa Addis Abeba
  • Kinshasa:muisho ya kikao cha mainchi za lugha la kifransa OIF./sites/default/files/2019-06/20062019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3