- Kinshasa :shauri la serkali imevunja atuwa yakuchaguliwa kwa liwali wa juimbo la sud Ubangi
- Kinshasa:manadamano ya wabunge waliotengwa na korti ya kikatiba inchini
- Kinshasa:chama cha mwana inchi Boyoka mpe biso kina omba irudiliwe tabia ya duru mbili za uchaguzi wa uraisi
- Goma:katibu msaidizi wa jimbo la marekani katika hotuba wake leo mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu
- Kinshasa:kuawa kwa kanali wa taifaa katika kartaa Mitendi mtaani Mont Ngafula katika mji jimbo la Kinshasa
- Bunia:watu wanee waliuwawa kwa vita pale Nyamamba mtaani Djuguhumo jimbo la Ituri
- Kinshasa:mwanzo ya mchezo ya kandanda CAN total Msri mwaka wa elfu mbili na kumi na kenda./sites/default/files/2019-06/21062019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3