Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:CAN-MSRI 
  • Bunia:watu kumi na watatu walifariki kwa mapambano ya pale Kpandroma mtaani Djgu katika jimbo la Ituri
  • Goma:Mjibu ya wakaji wa eneo la Masisi kiisha kutangaza habari za kumtafuta na kumfunga kiongozi ya wasi Guidonkatika jimbo la Nord Kivu
  • Lubumbashi:Kyungu wa Kumwanza kiongozi wa Unafec nchini anaka kataza ku vaa vitambala vya chama katika jimbo mzima la Katanga ya zamani
  • Kananga:tangazo la kuchaguliwa kwa liwali wa Sankuru na Ceni munamo tarhe kumi julai ijao
  • Kinshasa:mradi wa liwali wa Kinshasa kuhusu usafi na kuboresha mji mkuu huu wa Kinshasa./sites/default/files/2019-06/26062019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3