Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:kujiuuzulu kazini ya kocha wa Leopards ya jamuhuri ya kidemocracia ya Kongo 
  • Kinshasa:Mazungumzo kati ya waziri mkuu na ujumbe wa Cach na Fcc kuhusu  mawaziri wa serkali
  • Kinshasa:kikao cha shirikisho ya walimu wa chuo kikuu Apukin
  • Bunia: watu saba walifariki kwa mapambano kati ya vikosi vya taifaa na washambuliaji katika jimbo la Ituri
  • Goma:kikao cha Gisenyi kuhusu virusi y'Ebola mapatano kati ya rwanda na DRC
  • Uvira:Mpangilio ya HCR kwa kupiganisha uambukiaji wa ugonjwa kwa virusi y'Ebola ndani ya ma kambi
  • Kindu:Uzamini kwa wana funzi kumi kutoka kwa senata Augustin Matata Mponyo./sites/default/files/2019-08/07082019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3