Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Tangazo la Unicef kuhusu idadi ya wahanga kwa virusi y'Ebola
  • Goma:hatua zilizochukuliwa na DGM zinazozuia kuvuka kwa vizuizi katika mapambano dhidi ya Ebola
  • Waziri mkuu hukutana na Rais wa jamhuri kwenye orodha ya mawaziri
  • Kindu :kati ya vikundi vya Mai mai vyenye silaha Malaika,Simba na wenginekatika mkoa wa Maniema
  • Bukavu:Kongamano lililoandaliwa na mtandao wa amani ya kiraia kuhamasisha vijana katika ujenzi wa amani 
  • Bunia matokeo ya mgomo wa mahakamu wa kwenye korti kuu ya Bunia katika jimbo la Ituri
  • Beni:Mwisho wa kikao maalum cha jalada la mitiani wa jimbo la elfu mbili kumi na mnane ,elfu mbili kumi na kenda katika mji wa Beni na Oicha humo jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-08/15082019-a-s-journalswahilisoir17h00-00.mp3