Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:ufunguzi wa kikao siwo kawaida cha bunge la kitaifaa leo siku ya kwanza mjini Kinshasa
  • Kinshasa:Waziri mkuu ametoa toleo la kwanza la serikali kwa mkuu wa nchi
  • Kananga:Liwali wa Lomami anatangaza  vipaumbele vya jimbo lake
  • Kinshasa:siku ya kibinadamu ya ulimwenguni
  • Beni:Shambulizi nyipya la EDF jana usiku pale Mbau mtaani Beni katika jimbo la Nord Kivu
  • Beni:Mji bila kazi shirika la kiraia wana dai usalama katika eneo ilo la Beni 
  • Goma:Iccn hutoa vifungu vya kukabiliana na Ebola./sites/default/files/2019-08/19082019-a-s-journalswahilisoir17h00-00_0.mp3