Journal Swahili Soir

  • Bunia:Watu kumi na mmoja waliuawa katika mashambulio mawili mtaani Djugu humo jimbo la Ituri
  • Goma:Marc kavota wa CEPADHO anaomba jeshi la taifaa wachukuwe mpango baada ya kifo cha Mudacumura ili kujieupusha na hatari ya kujilisha kisasi
  • Kinshasa:kwanza kwa malipo ya walimu nchini 
  • Kisangani:Askofu Marcel utembi juu ya bure 
  • Kindu:Ugumu wa uendeshaji wa kazi katika shule zingine za jimbo la Maniema sababu ya bure
  • Bukavu:hatua zilizochukuliwa mashuleni kwa ajili ya ulinzi wa wanafunzina waalimu dhidi ya Ebola
  • Kongo Central:Gavana na makamu wake walirusiwa kurudi jimboni ili kuwezesha kikao na baraza la jimbo./sites/default/files/2019-09/19092019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3