Journal Swahili Soir

  • Kinshasa:Beni mji bila kazi,hali ya jimbo Nord Kivu sababu ya mauaji ya wakaji wa eneo la Beni
  • Goma:Baraza la Wazee linaalika kwa amani na ukimia wakati huu wa mvutano kutatiza jimbo la Nord Kivu
  • Kinshasa:Hotuba yake Katibu makamu wa umoja wa mataifaa ausika na opersheni za amani nchini humu Jean Pierre La Croix
  • Kisangani:majibu kiisha mapatano kati ya jamhuri ya Kongo na Uganda
  • Kinshasa:Kufungwa kwa Dieudonné Lobo na washiriki wake wawili
  • MbujMay:Maandamano ya vijana ya Lusambo dhidi ya aagizo za wabunge wa jimbo la Kasai
  • Lubumbashi:Hospitali ya kambi la polisi lilibomolewo na mvua ya hapa karibu,mganga kiongozi ana piga yowé humo jimbo la Haut Katanga./sites/default/files/2019-12/02122019-a-s-journalswahilisoir-00.mp3