- Beni:Watu kumi na mnane walikufa kwa shambulizi la ADF pa Apetina katika jimbo la Nord Kivu
- Uvira:Kumbukumbu ya mauwaji wa Makobola mtaani fizi katika jimbo al Sud Kivu
- Bukavu:mi miwili iligotwa ndani ya makao ya mtu mmoja pale Minova katika jimbo la Sud Kivu
- Beni:Swala la usalama ya waganga wa majibu mada ya kikao kati ya liwali wa jimbo na wausika wa pale mtaa wa beni katika jimbo la Nord Kivu
- Bunia:Mjibu ya kiopngozi ya baraza la bunge la Ituri kuhusu baruwa ya kumachisha kazi humo jimbo la Ituri
- Bunia:Mjibu ya mmoja ya walieomba kusailiwa kwa baruwa haia
- Goma:Siku mbili kabla ya kusherekea siku kuu ya mwaka mpya , hali ya furaha inatambulikana ndani ya soko la Birere mjini Goma katika jimbo la Nord Kivu./sites/default/files/2019-12/30122019-a-w-journalswahilisoir17h00-00.mp3