Journal Swahili Soir

  • Kinshasa :fujo sababu ya ada ya masomo inaendelea huko chuo kikuu cha Kinshasa
  • Goma:Liwali wa jimbo la Nord Kivu ana shutumu kuongezeka kwa wahalifu mjini Goma katika jimbo la NordKivu
  • Beni:vitisho vya kweli kutambulikana mjini Beni katika jimbo la Nord Kivu 
  • Kinshasa:Hotuba la Shirikisho la vyama vya siasa Congo en Avant
  • Bunia:mafuriko ya maji ya ziwa Albert pale bandari la Mhagi imeharibu nyumba mia sita
  • Kinshasa:kuharibika kwa mabarabara za mji wa Kinshasa./sites/default/files/2020-01/07012020-a-s-journalswahilisoir-00.mp3